Owen Bwanakweli Gisigo
Owen Bwanakweli Gisigo, , Rwanda
Kuzingatia huduma za afya, matibabu, na msaada unaohusiana na mtoto chini ya miaka 18.
Kwa nini msaada huu ni muhimu sasa
Mimi ni mjane mume wangu alifariki mwaka jana lakini tangu alipofariki maisha yetu yamebadilika kuwa mabaya sasa mwanangu hawezi kwenda shule kwa sababu sina pesa za kumlipia ada ya shule. Naomba msaada ili mwanangu aweze kurudi shule pia. Asante
Ninaomba msaada wa kifedha mwanangu anaweza kwenda shule
Irankunda Amina +250784070306
Mimi ni maskini siwezi kumsaidia mtoto wangu kurudi shule na sina kazi.
Kumbukumbu zilizotolewa
Pakua nyaraka zilizounganishwa na ushahidi uliowasilishwa na ombi hili la msaada.